Harris Kapiga na utangazaji wake wa habari

It is true yeye anajiona kama anasoma vizuri kuliko wengine kumbe anaharibu sana.binafsi suwezi kuangalia taatifa anayosoma Hariss Kapiga nahisi kama kuna kitu anakitangaza zaidi ya taarifa.Imean kama anajitangaza yeye zaidi na kutaka aonekane yeye alafu ndio taatifa ionekane .Kwakweli ana mbwembwe zinazoleta wasiwasi mpaka unafikiria huyu mwanaume anataka nini....ananyonga nyonga mdomo mara arembue ...dah clouds wana kazi.
 
Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.

Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.

Ujinga mtupu.
Mkuu kuna age group wanakielewa sana hicho kipindi. Walengwa ni teenagers na early 20s fulani otherwise kitakuzingua. Ni muhimu kuangalia maudhui ya kipindi na walengwa kabla ya kulaumu.
 
Mkuu katika mtangazaj wa habar anaeboa jamaa wakwanza maana he is not serious kbsa
 
Clouds TV wanajifanya BBC, wanaiga mikogo ya kina Kikeke, kumbe sometimes wanaharibu. Ni heri kuwa siriaz tu kama ITV kuepusha ishu za namna hi
Sio sometime mkuu ni all time
 
Clouds TV wanajifanya BBC, wanaiga mikogo ya kina Kikeke, kumbe sometimes wanaharibu. Ni heri kuwa siriaz tu kama ITV kuepusha ishu za namna hi
Changanya na yule wa kipindi cha malumbano ya hoja Itv mnene sijui anaitwa nani mtu akitoa maneno anapenda sana na yeye kuweka upuuzi wake hasa akigundua huyo mtu sio detail sana
 
Kwa hiyo nae anaweza kuwaaa ni kipepeooooo!!!
 
Mkuu kuna age group wanakielewa sana hicho kipindi. Walengwa ni teenagers na early 20s fulani otherwise kitakuzingua. Ni muhimu kuangalia maudhui ya kipindi na walengwa kabla ya kulaumu.

Na huwa nakisikia madogo wakija home, maana ndio vipindi vyao hivyo.
 
Kosa gani labda umeona nimelifanya hapo? Nitashukuru ukinidadavulia vizuri ili pengine Wewe sasa ndiyo uonekane una hayo makosa.
Ha haa....sithubutu sina fedha ya mchezo,lakini kuna post humu ya jamaa yake akitishia wanaomfananisha na .........
 
Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.

Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.

Ujinga mtupu.
umevamia rafk yangu. hayo mambo ya vijana tunayaelewa sisi vijana, kakae na mkeo/mumeo haya mambo yaache kabisa wallah ukitaka ugomvi na mimi nijibu vibaya uone, nakuheshimu
 
Clouds wafanyie kazi malalamiko. Naona idadi ya wanaokereka ni kubwa kuliko ya wasiokereka
 
Ha ha ha.
 
Daah!Nani sasa mkuu wa mkoa au haris!
 
Huyu mtu ni kanjanja tu hana depth katika uchambuzi wake, ni mtu wa kijiweni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…