Harris Kapiga na utangazaji wake wa habari

Yule jamaa hua anzingua sana..huwezi soma news ki-comedy..
 
Mimi ananiudhi tu anavyobadilisha sauti yake juzi kati nilimsikiliza kwenye radio ikabidi nibadilishe channel maana natambua sauti yake ya zamani ila nilichogundua anataka kutuaminisha eti kanenepa na hela zimemtembelea so sauti inabadilika nayo.

Bogus kabisa na kanisa lake
 
Hivi ana kanisa?

Waumini wapo?
 
Daaaah kuna kipindi kama sikosei wik mbil zimepita cha dakika 45 it yan niliboreka sana pale unamwona mwendesha kipindi akiweka maoni yake na misimamo yake ilihal yy pale kaz yake ni kusimamia utaratibu wa uwakilish wa kipindi na kinyume ya apo, yan bohera anamhoji msigwa lakin anaweka misimamo yake ambayo haina mising
 
Akiwa huyo jamaa kwenye habari nabadilisha channel,..... Sijui huu utangazaj ni wa namna gan na kautolea wap!?
 
umevamia rafk yangu. hayo mambo ya vijana tunayaelewa sisi vijana, kakae na mkeo/mumeo haya mambo yaache kabisa wallah ukitaka ugomvi na mimi nijibu vibaya uone, nakuheshimu

Acha mikwara, kwani uongo xxl haina kelele? Mwanzo mwisho ni kelele!
 

Ningependa kabla ya kuponda umsifie kwanza, hata kwa zuri moja tu alilofanya kabla ya ilo baya ulio liona. Chuki binafsi
 
Huyu jamaa asee anaBOA sana usomaji habari wake. Huyu ndio alinifanya niache kuangalia clouds tv habari.
Clouds tv tafadhali huyu Kapiga asiwe anasoma Habari!
 
Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.

Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.

Ujinga mtupu.
Ujue mnazingua sahv...mbona station zpo nyingi kwan lazma clouds?? Acheni kudisi bana wanaotaka kusikiliza clouds watasikiliza....km hutaki pga chn alaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…