Pamoja kwamba Clouds TV hqiyoi sauti yenye kushituana masikio(hii sijui kwa nini, ni tofauti na tv zingine) Lakini pia Kapiga Hana sauti yenye Mamlaka ya ushawishi kwa kusoma Habari na kuvutia watu.
Mwingine ni yule dem aliye haribu kipindi cha Molard Ayo, Count down. Anapiga makelele utandhani ni Kipindi cha Asubuhi. Vipindi lazima sauti ziendane na majira, usiku watu wanataka sauti tulivu ili kupumzisha akili sio mchana kelele usiku mayowe. Hata kwenye fiesta anajifanya comedy alafu hata hachekeshi kama Idris Sultani vile anavyo lazimisha kuchekesha.