witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Ngachoka mimiHatare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngachoka mimiHatare
Nikajua nipo peke yangu....kile kipindi kikianzaga huwa nazima redio mpaka wakati wa JahaziKali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.
Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.
Nami niliwahi kusikia alikuwaga na hiyo michezo toka sekondari, wajuvi wa mujini wake watupe ubuyuJamii inadai kuwa huyu mtangazaji ni shoga. Naye hajawahi kukanusha