Harris Kapiga na utangazaji wake wa habari

Hivi ile Kampeni ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda ya kupambana na kuwaondoa " mashoga " wote jijini inaanza lini? Mkuu mbona umesahau pia kusema kuwa huwa anapenda sana kushika peni na kuizungusha zungusha kule kunene kunene, akiipitisha katika vidole vyake huku akirembua macho yake na akitabasamu kwa bashasha kabisa?
Eeeh wewe ndiye dudubaya au ? Maana hii comment ni ya 2016
 
Hivi ile Kampeni ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda ya kupambana na kuwaondoa " mashoga " wote jijini inaanza lini? Mkuu mbona umesahau pia kusema kuwa huwa anapenda sana kushika peni na kuizungusha zungusha kule kunene kunene, akiipitisha katika vidole vyake huku akirembua macho yake na akitabasamu kwa bashasha kabisa?
Aisee
 
It is true yeye anajiona kama anasoma vizuri kuliko wengine kumbe anaharibu sana.binafsi suwezi kuangalia taatifa anayosoma Hariss Kapiga nahisi kama kuna kitu anakitangaza zaidi ya taarifa.Imean kama anajitangaza yeye zaidi na kutaka aonekane yeye alafu ndio taatifa ionekane .Kwakweli ana mbwembwe zinazoleta wasiwasi mpaka unafikiria huyu mwanaume anataka nini....ananyonga nyonga mdomo mara arembue ...dah clouds wana kazi.
Jamaaa you are very inquisitive
 
Mwe.. kmbe watu wana hizi habari kitambo sana.
 
Hivi ile Kampeni ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda ya kupambana na kuwaondoa " mashoga " wote jijini inaanza lini? Mkuu mbona umesahau pia kusema kuwa huwa anapenda sana kushika peni na kuizungusha zungusha kule kunene kunene, akiipitisha katika vidole vyake huku akirembua macho yake na akitabasamu kwa bashasha kabisa?
Mkuu kaburi limefukuliwa huku!
Daah kumbe kitambo sana watu wanasafishwa mitaro yao!!!
 
Jamani jamani midomo hiyooo..Huyo Ni MTU wa Mungu Ni mtumishi.Ngoja mlaanike mshindwe kuzaaa.Hata ivyo Humu Kuna watu unbelievable Mara hatuangalii Clouds..Sasa Izo mbwembwe zake mmeoteshwa???
S[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kuna siku alisema ni siku yake yakuzaliwa kwaiyo watazamaji wote tumtakie kher yakuzaliwa na tumuimbie kidogo.kisha akaweka pozi kupisha eti tumuimbie mweh.
Hahaaa period
 
Kweli maskini ni rahisi sana kumtambua. Kwa Maneno yako haya inatosha kupredict maisha yako ni ya hali gani na future yako pia
 
Back
Top Bottom