Harris Kapiga
Nimeona Clouds TV ni kitu kama Haris kapiga anaagwa kistaafu kufanya kipindi Cha gospel pale Clouds TV.
Nadhani amepandishwa cheo, kuna na wasanii mbalimbali wa injili wamealikwa akiwemo Christina shusho Na kina Angel Benard.
Kila msanii anapanda jukwaani na kumpa mauwa yake lakini nashangazwa na Christina how she behaves ana crazy gestures na anajinadi kuwa mwakani anatimiza miaka ishirini ya huduma na litakuwa jambo kubwa then anasema kuna watu wanatoa macho kusikia nitafanya jambo kubwa