Harris kapiga Vs Kifesi ndani ya bifu zito, kisa Mapenzi

Harris kapiga Vs Kifesi ndani ya bifu zito, kisa Mapenzi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Jamani Sasa na wewe kifesi, why would you go to media and brag about another man tying to force you to https://jamii.app/JFUserGuide him ? That's so juvenile, na wewe Harris kapiga, shame on you , kwan mabasha huwaon mjini hadi ukatake kumbaka mtoto wa watu, hvi wanazengo kesi kama hizi zipo au ? Sasa hapa kwa mfano Harris akishtakiwa kwa kutaka kumbaka kifesi hivi atafungwa au?


Nimesikiliza audio nimecheka, kifesi anaogopa kubakwa, Ila na wewe umezid kuwa handsome na Siku hizi umejazia mwenyewe, any woman or a gay guy would want a piece of you , pole Ndo ukubwa, Ila you don't do that bhana, that's so childish

Sasa mtu unamlazimisha mtu akubake jaman harris, si huende kwa gwajima mtumishi mwenzio atakusaidia🤣

Pole kifesi bwana Ndo ustaa na ukubwa
 
Kwa ukiwa na kiu unaanzaje kukata kiu
Hii clip yao nimetumiwa sasa hivi whatsup,yaani daah we Mungu watizame wadogo zetu wa kiume.Sijui jamaa ilikuwaje kuwaje mpaka kuanza hiyo michezo.
 
Hii clip yao nimetumiwa sasa hivi whatsup,yaani daah we Mungu watizame wadogo zetu wa kiume.Sijui jamaa ilikuwaje kuwaje mpaka kuanza hiyo michezo.
Endelea kumuachia Mungu awaangalie. Siku yakikufika ndipo utapata muda wa kufanya juhudi kubwa zaidi kuwanasua kuliko ambazo zingetumika kuwalinda.
 
huyu kapiga kujikuta pastor kumbe agawa biriani tu???
 
Pamoja juhudi zako katika malezi yako bado unamwitaji Mungu,amlinde,kumwongoza kiroho na kimwili peke yako huwezi.
Ni kweli lakini bado haiondoi ukweli kuwa, wakati wenzetu wakiyatafutia matatizo yao suluhisho.sisi huwa tupo bize kumuachia Mungu. Nimeisikiliza hiyo clip na kwa nilivyosoma ramani, there is still something wrong na kifesi mwenyewe
 
Joto limeisha, Sasa hivi mafuriko, huu mji hatari
Daah ukiwa huna fani ya umbea shida tu yaani mi hata sijaelewa, Harris ni jina la kiume kifesi sijui ni jinsia gani. Content ya habari naona mabasha
Yaani nimeachwa dada warumi
 
Back
Top Bottom