kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
My friend charty kitambo Sana sema sikuizi unaingia Kwa nadra Sana jukwaaniIla Harris ni ngum kuamini kama anabahashiwa jaman wanaume ni wapi mnakosea jamani dah.Nikimuangaliaga mke wake namuonea huruma kweli.