Harris kapiga Vs Kifesi ndani ya bifu zito, kisa Mapenzi

Harris kapiga Vs Kifesi ndani ya bifu zito, kisa Mapenzi

Kabisa inawezekana kuna sehemu zao za kujiachia watakavyo,huku wakiwa na mionekano ya kike completely.
ya hii club ipo .ata mimi niliwai ingia nilikuwa na wageni wachina ...tulitoka kula pale chinese restraurant karibu na samaki samaki...niliingia nikajua ni normal bar.
ee bwana si baada ya beer mbili nikaenda washroom mara paap bwabwa la kizungu ili hapa...aisee nilipotoka tu wshroom niliwaambia wachina nimepata dharura niwarudishe hotelini .ili nikaatend hiyo dharura....Dar usiku ni dunia nyingine..
 
Kuna shida mahali! Mtu mwenyewe anajiita "kifesi" ; which is= ki-face/ Cute/ beautiful/ sura laini/ jojo!

Na analia ati anabakwa! Holy cow! Hao wote ni mashoga ila kuna namna wamevurugana! [Kama stori ni ya kweli].
 
Kuna shida mahali! Mtu mwenyewe anajiita "kifesi" ; which is= ki-face! Cute/ beautiful/ sura laini/ jojo!

Na analia ati anabakwa! Holy cow! Hao wote ni mashoga ila kuna namna wamevurugana! [Kama stori ni ya kweli].
😂 😂 😂
 
Former photographer wa domo
Okay! Asante kwa kunijuza mwenzako uwanja huu ni ugenini hua napigwa hamsa kila wakati...! Ila jamani nadhani ndiyo maana siluwa Mungu maana kila mtu ningemfanyia moto wa sodoma na gomora hapa duniani.
 
Hii clip yao nimetumiwa sasa hivi whatsup,yaani daah we Mungu watizame wadogo zetu wa kiume.Sijui jamaa ilikuwaje kuwaje mpaka kuanza hiyo michezo.
Jamani tupieni hiyo clip na humu ndani huko whatsapp makundi yetu wengine yamejaa wagalatia.
 
Kapiga ukimsikia anaongea mambo ya mungu utasema wa maana kumbe Hana tofauti na shetani
 
Back
Top Bottom