joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kabisa inawezekana kuna sehemu zao za kujiachia watakavyo,huku wakiwa na mionekano ya kike completely.
ya hii club ipo .ata mimi niliwai ingia nilikuwa na wageni wachina ...tulitoka kula pale chinese restraurant karibu na samaki samaki...niliingia nikajua ni normal bar.
ee bwana si baada ya beer mbili nikaenda washroom mara paap bwabwa la kizungu ili hapa...aisee nilipotoka tu wshroom niliwaambia wachina nimepata dharura niwarudishe hotelini .ili nikaatend hiyo dharura....Dar usiku ni dunia nyingine..