mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Mbona hakuna lolote baya aliloandika.Sisi Kama chadema tayari tuna wagombea wetu,sio ajabu kufuatilia tutachuana na Nani kwenye nafasi za ubunge Sasa kibaya kipi?Lazima umjue unaeshindana nae,halafu usiweke siasa mbele Sana,Kuna watu wako CCM Ila wanafanya kazi hata sisi tunajua Ila mizigo Kama Mwakyembe lazima tujue Kama atapigwa Pini ama la.Wakuu wa CHadema mnafell Hapo tu.
Hamna Identity. Ni fuata mkumbo. Leo Nyie ndo waandika habari za hao ccm. Nawashangaa sana. My interest siku Zote sio vyama. Lakini JPM. Nachukia sana tabia za watu wavivu wavivu wanaofikiria maneno tu mwaka Mzima bila kazi. Tabia za Watu kama wewe na wengine. Hopeless. Hamna positives. Ndo mana watu makini lazima wawadharau. Mtu makini anakuwa Ana positive mind. Anaona mazuri na mapungufu. Mwangalie Mwenyekiti wenu pamoja na udikteta Wake Lakini Ni muumgwana sana. Anajua kupongeza na anajua kupinga Nk. Watu emotional kama nyie hamuwezi pta nchi. Itakuwa Vita.
Halafu hii inatupa furaha,hautaki tufurahi tinavyoona panzi wanavyoparurana?