Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

Mbona hakuna lolote baya aliloandika.Sisi Kama chadema tayari tuna wagombea wetu,sio ajabu kufuatilia tutachuana na Nani kwenye nafasi za ubunge Sasa kibaya kipi?Lazima umjue unaeshindana nae,halafu usiweke siasa mbele Sana,Kuna watu wako CCM Ila wanafanya kazi hata sisi tunajua Ila mizigo Kama Mwakyembe lazima tujue Kama atapigwa Pini ama la.
Halafu hii inatupa furaha,hautaki tufurahi tinavyoona panzi wanavyoparurana?
 
hapa ndipo alipojizika akiwa hai
 
Hata Kama lilikuwa swali la kizushi, huyu Mzee kajichanganya kulijibu. "Alilepo......"
 
Aisee, mende wameangusha kabati! πŸ˜€ πŸ˜€
Alisema mende hawawezi kuangusha kabati..
Mara yeye msomi, dunia inaenda kasi, huu uchumi wa kati..

Everyday is Saturday............................😎
 
Wajumbe wakasema ahaaa!!! Kumbe umeshibaaaa
Ngoja tukutulizee

Ova
 
SAFI SANA,MWAKYEMBE ameramba vumbi
 
Lkn bado kuna zoezi la uteuzi ! Msubiriage matokeo msijifanye wajuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…