uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Baada ya Jana kijana kutoka Tanga Yusuphu Shemahonga Poulsen kuwazuia Bayern kutangaza ubingwa ikiwa imesalia sec 1 Leo Bayer Leverkusen wameamua kutupa taulo na kuwaruhusu Bayern kubeba ndoo na kumpa Harry Kane medal ya kwanza ya ubingwa wa kombe kubwa
Sio tu harry atakaefurahia ubingwa huu Bali Muller anaendoka kwenye viunga vya Allienz Arena na Kocha mpya Vicent nao watafurahi
Serikali ya Tanzania chini ya Paramagamba Kabudi wanaweza Kutumia uwanja wa Bayern kutangaza utalii wa nchi na hata ikibidi kuwaalika