Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifaida kwetu mkuuAkili za Zidane kumuuza Morata ili kumbeba Mfaransa mwenzie zinamtokea puani
Kabisa mfaransa naye kashindwa kubebeka kabisa msimu huu.Akili za Zidane kumuuza Morata ili kumbeba Mfaransa mwenzie zinamtokea puani
Acha waendelee kusuasuaNifaida kwetu mkuu
Unalikumbuka goli la kwanza la super cup ya Spain pale camp Nou 2017?.Unakumbuka Benzema alichimfanya yule beki siju ni Pique sijui nani? Hata hivyo Benzema hajawahi maliza msimu bila goli 20.Kabisa mfaransa naye kashindwa kubebeka kabisa msimu huu.
Tottenham wamewauzia real Madrid ,modric na bale na wamewapa Madrid uefa champion Mara tatu,Tottenham ndio kwanza wamefanikiwa kufika 16 bora,sasa hapo nani kapigwaHicho ndio kinaenda kutokea. Daniel Leavy mmiliki qa club ya Spurs anajua sana kuuza wachezaji. Modric na Bale. Kuanzia january hii utaona media zitakavyo anza kumpa shavu Kane. Oooh Kane hauzi hata kwa £200m!
Maneno mengi mwisho Perez anaingiza kichwa anapigwa pesa.
Soka biashara wewe. Linapokuja swala la pesa hakuna club itaacha. Madrid wakifika bei wanapigwa pesa spurs wanatafuta mchezaji wa kuziba pengo. Wapo wengi tu. Huko Amerca kusini ufaransa na nchi za balkani.Tottenham wamewauzia real Madrid ,modric na bale na wamewapa Madrid uefa champion Mara tatu,Tottenham ndio kwanza wamefanikiwa kufika 16 bora,sasa hapo nani kapigwa
Waaljeria wale wamebebana.Kabisa mfaransa naye kashindwa kubebeka kabisa msimu huu.
Michael Owen
David Beck hawa Waingereza waliweza kutoa walichokusudiwa pale madrid?
Madrid ni one man team Mfano game na Barcelona Cr7 alikua nje ya kiwango siku ile hata Kwasi au Shaibu Ninja wa Yanga wangempiga pini Sikuona haja ya kuendelea kuwepo ndani ya uwanja angetoka mapema tu Bale azame ndani na yeye pia ni Selfish mnoo.
Hary Kane kama atawezana na Philosophy za Zidane basi atakua mchezaji mzuri ila kucheza kwake vizur ni Vema Ronaldo apigwe mnada la sivyo ndo yale mambo ya mafahari wawili hawakai zizi moja.