😀 harry makange wa channel ten apata ajali
Kapuchi:
Sijui unashangilia nini kwa Harry kupata ajali, ambayo imeondoa maisha yake...! Utu upo wapi? Mtu kapata ajali wewe unakenua meno!
RIP Harry Makange
Kibs najizuia kucheka sikuwa nimeona kapuchi anavyokenu....RIP Herry makangeKapuchi:
Sijui unashangilia nini kwa Harry kupata ajali, ambayo imeondoa maisha yake...! Utu upo wapi? Mtu kapata ajali wewe unakenua meno!
RIP Harry Makange
ni vema mod akarekebisha hii taarifa... manake haimake sense yoyote!Kibs najizuia kucheka sikuwa nimeona kapuchi anavyokenu....RIP Herry makange
ajali tatu ndani ya mwaka mmoja si kitu cha kawaida!!!! RIP Heri