Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Ina maana marehemu alipata ajali tatu mwaka huu?? na je?? kama ndivyo zilikuwa za pikipiki pia??
Ndio alipata ajali tatu mwaka huu. Ya kwanza ilikuwa ni ile iliyomhusisha mpiga picha wa habari leo, Athumani Hamisi ambaye bado yupo Afrika Kusini kwa ajili ya mamtibabu. Alipata pia ajali nyingine ya gari kabla ya kupata ajali hii ya juzi ya pikipiki iliyochukua maisha yake.
Ndio tumetoka kuuaga mwili wake nyumbani wka wakwe zake na unapelewka Kibaha kwa wazazi wake ambako atazikwa kesho.
Mungu amrehemu