Wanaongea kwa kutumia nafsi ya tatu(3rd Person) .....Misamiati ya kwenye movies za harry Potter ilikuwa inaniacha hoi sana. He ho must not be named.
Naam. Hata Fir'aun wakati anafanya mazungumzo na Nabii Musa alijifanya kulizungumzia kosa la Nabii Musa ktk namna ambayo ilimaanisha ni kosa kubwa sana lisilopaswa kutamkwa kwa dhati yake.Wanaongea kwa kutumia nafsi ya tatu(3rd Person) .....
'Who knowa who, must not be named'
Kuna uwezekano majina yakasababisha tabia fulani kumbuka habari ya yule faru maarufu (R.I.P)He who must not be named, hajaanza leo kupenda kazi, nakumbuka enzi zile akiwa prefect wa kawaida sio HP alikuwa anasociolize na mwanadada mmoja hivi, tena kule nyumbani kwake katikati ya nchi , ila sharti mwanadada akienda kwa you know who aache usafiri wake nyumbani na aende kama ameenda kuomba msaada kwa kiranja. Akiruhusiwa na monitor kuingia ndani basi kazi zinamalizwa anasepa kama kawaida.
hauko peke yako bro,,tuko msururu tulotoka kapa na bandiko la dada skyHonestly sijaambulia chochote
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji443] Siku ya kunyaa kunya kunyakuliwaaaa,Sikijui ila nimeelewa una msengenya nani
Hahaha, are u nat 1 of dem ?[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji443] Siku ya kunyaa kunya kunyakuliwaaaa,
Wale wasengee senge wasengenyaji hawatanyakuliwaaaaaa [emoji444]
( just singing)
Cc Smart911
Ila uzi una furahisha sanaa, ukiusoma una jifunza kua ,kumtaja taja mungu sio utakatifu
Mtoto ni wa kiume mwenye afya njema