Harry Porter na You know Who

Harry Porter na You know Who

Misamiati ya kwenye movies za harry Potter ilikuwa inaniacha hoi sana. He ho must not be named.

64b59902527ffa8ccdc4ca1aff0406b0.gif
Wanaongea kwa kutumia nafsi ya tatu(3rd Person) .....
'Who knowa who, must not be named'
 
Wanaongea kwa kutumia nafsi ya tatu(3rd Person) .....
'Who knowa who, must not be named'
Naam. Hata Fir'aun wakati anafanya mazungumzo na Nabii Musa alijifanya kulizungumzia kosa la Nabii Musa ktk namna ambayo ilimaanisha ni kosa kubwa sana lisilopaswa kutamkwa kwa dhati yake.

Sasa kwa jinsi Voldermort alivyotisha wana haki kumzungumzia as a third person
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA hii topic imenichekesha sana,sasa huyo You know who ...anachepuka saa ngapi jamani na ana walinzi kila mahali??? yaani nimefikiria nikaona wanaume kweli balaaa,suiombee ile kitu Samson alinyolewa nywele na delila,lol
 
He who must not be named, hajaanza leo kupenda kazi, nakumbuka enzi zile akiwa prefect wa kawaida sio HP alikuwa anasociolize na mwanadada mmoja hivi, tena kule nyumbani kwake katikati ya nchi , ila sharti mwanadada akienda kwa you know who aache usafiri wake nyumbani na aende kama ameenda kuomba msaada kwa kiranja. Akiruhusiwa na monitor kuingia ndani basi kazi zinamalizwa anasepa kama kawaida.
Kuna uwezekano majina yakasababisha tabia fulani kumbuka habari ya yule faru maarufu (R.I.P)
 
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji443] Siku ya kunyaa kunya kunyakuliwaaaa,
Wale wasengee senge wasengenyaji hawatanyakuliwaaaaaa [emoji444]
( just singing)


Cc Smart911
Hahaha, are u nat 1 of dem ?
 
Back
Top Bottom