Harry Porter na You know Who

Harry Porter na You know Who

page ya kwanza imepita kapa, ya 2 nikaunga unga mpaka kujua anaesemwa ni yule ana kichwa kibaya na kidevu kama konzi ya yuda eskarioti (akichorwa kikatuni)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni baada ya kile kipigo cha mbwa, alipotoka hospitali alikataa kurudi. Ilibidi apelekwe kw nabii wa kutembea na socks. Aliporudi aliweka msimamo kuwa harudi ilibidi wamtembelee padre mkubwa kabisa nako ilishindikana.

Amepewa nyumba na ulinzi na anatokea kwenye public occasions kutuzuga Wadanganyika.

Hivi ile ishu ya UTyson ilikuwa kweli kabisa jamani na ubuda ule jamani bado wanaendekeza pambano.
 
Lord Voldemort must not be named
Misamiati ya kwenye movies za harry Potter ilikuwa inaniacha hoi sana. He ho must not be named.

64b59902527ffa8ccdc4ca1aff0406b0.gif
 
Back
Top Bottom