atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Hivi yule muimbaji mzee wa zamani alishatoka Guantanamo!?? Bora lipi sasa!Basi njia rahisi ni kumpoteza mumewe, atangulie aheraa.
Hili haliwezekani?
You know who hajaanza leo kupenda kazi, nakumbuka enzi zile akiwa prefect wa kawaida sio HP alikuwa anasociolize na mwanadada mmoja hivi, tena kule nyumbani kwake katikati ya nchi , ila sharti mwanadada akienda kwa you know who aache usafiri wake nyumbani na aende kama ameenda kuomba msaada kwa kiranja. Akiruhusiwa na monitor kuingia ndani basi kazi zinamalizwa anasepa kama kawaida.
Hatari hatariiii!hahahaa you know who ..na uzinzi nikama mlevi wa komoni na kilabu cha pombe..hiyo kitu kumbe Ameanza kitambo namna hiyo duuuhhh noma sana aiseeee
Hatari hatariiii!
Mpaka umeweza soma na comment ina maana uzi haujafutwa huu!!...Aisee raia mna mafumboo,hapa ss ndio tuwaelewa nin
We mwanamke sikuweziKutongoza hajui ni mwendo amri na ahadi tamutamu tu.
Duh! Kumbe na padre aliingilia kati lile saga. Ndiomana majuzi Mr. You know who alisema ana frastiresheni sana kule ufukweni.Bubu husema mambo yanapomzidia, amesema no hataki ujinga hata yule padre mkubwa kabisa ameshindwaw kumshawishi.
Kutongoza hajui ni mwendo amri na ahadi tamutamu tu.
Si huwa kunatetesi yeye dude haliamkagi......Yule mbona mtoto mkubwa wa baba amejimilikisha!
Umetisha.......You Know Who anahonga sio mchezo. Ile kitu amemuhonga bi mdogo kusimamia kule tunapogombana na wazungu naona alimuweka kabisa asiwe anadai child support ajilie kule kule child support yake.