Harufu gani isiyo vumilika ?

Harufu gani isiyo vumilika ?

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Usafi umekuwa mtihani kwa watu wengi , kwa kifupi sio kila mtu anaupenda usafi, ukikutana na mtu msafi basi ni hobby. Sikuwahi kujua kama usafi inaweza kuwa hobby ??? Kitu ambacho ni lazima kufanywa.

Anyway haya maeneo yasipofanyiwa usafi kwa muda harufu zitokazo maeneo haya ni kero kwa jirani.

1. Mdomo/Kinywa
2. Kwapa
3. Nyeti

Harufu gani inachefua sana ukiinusa?

*Mdomo kwangu una harufu mbaya sana.
 
Eee bwana eeeh makalablasha ya nyeti mkuu fumes za humo ndani..kinywa ukitupia batook za karafuu mchezo umededi ila nyeti mkuuu bila litres za clean foam type omo shower gel...mnuko haugawanyiki hata kwa Ms fx 991 ...
Mnuko wa math error
 
Moja
Mbili
Tatu
Ni kero kubwa sana, hakuna chenye nafuu hapo. Kwa kifupi havivumiliki [emoji26][emoji26][emoji26]. Ila kwa anayeweza anatakiwa apewe tuzo.
 
Mtu akivaa mguo wa liccm harufu yake ni mbaya sana!! Haina cha purfume wala body spray.
 
Eee bwana eeeh makalablasha ya nyeti mkuu fumes za humo ndani..kinywa ukitupia batook za karafuu mchezo umededi ila nyeti mkuuu bila litres za clean foam type omo shower gel...mnuko haugawanyiki hata kwa Ms fx 991 ...
Mnuko wa math error

[emoji23][emoji23][emoji23]umeni furahisha sana mkuu .. ila Kinywa nacho si mchezo... utapiga batook box zikisha neutralize mzogo una fumuka tena
 
Usafi wa kinywa + kunyea maji kwa wingi kunaondoa tatizo la kinywa kunuka,

vingine ni usafi wa mwili na mavazi.
Zote harufu mbaya hakuna yenye afadhali hapo.
 
Hakuna yenye afadhali....
Mdomo mtu hata kumkaribia huwezi, kwapa hiyo hug unaitoa kinyonge na kukaa nae muda mrefu ni shida sana na nyeti ni balaa, hata nyege zinakata
 
Eee bwana eeeh makalablasha ya nyeti mkuu fumes za humo ndani..kinywa ukitupia batook za karafuu mchezo umededi ila nyeti mkuuu bila litres za clean foam type omo shower gel...mnuko haugawanyiki hata kwa Ms fx 991 ...
Mnuko wa math error
Nimecheka sanaaa
 
Wakuu hivyo vyote ni balaa tupu hakuna afdhali hapo
1.modomo
Kuna mdomo unanuka kama Ng’onda utadhani kaburi la paka. Yani huwez fanya romance lasivyo utatapika makablasha yote ya tumboni

2. Kwapa. Hapa kuna majasho aina nyingi sana pia inategemea na mafuta na spray au perfume. Mf. Kuna mdada anatumia carolight yani akitoka jasho kidogo ni anatoa harufu hatari. Pia kuna watu wananuka kama mbuzi beberu trust me

3. Nyeti. Hapa napo ni mtihani mwingine ambao hauna supplementary. Nyeti ni uncategorized hasa mtu akiwa fangas lazima anuke tuu. Unakuta mtu ana fangas msamba wote unavuja damu yani ni hatari kabisa.

Tujitahidi sana kwa usafi wakuu
 
Back
Top Bottom