fimbombaya
Member
- Apr 11, 2011
- 47
- 12
Pole
nimewahi kusikia maji ya ukoko wa ugali
ananawa nayo
Pole
nimewahi kusikia maji ya ukoko wa ugali
ananawa nayo
khaaa! yaani hizi dawa nyengine ni balaa. Unatoa harufu ya kikwapa unaweka harufu ya ugali, ole wako upite karibu na mbwa mwenye njaa!haswaa hii inasaidia sana
kuna mtu namfahamu alitumia haya maji ndani ya wiki mbili hakukuwa na harufu tena
pia pakaza ndimu au limao nayo inasaidia
polee