harufu kali mda wote!

harufu kali mda wote!

fimbombaya

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
47
Reaction score
12
kuna jamaa yangu anatatizo la kutoa harufu kali ya makwapa muda wote haijalishi katoka kuoga au anaelekea kuoga!asubuhi wala jioni ! hata akitumia body spray ni kazi bure na haisaidii chochote. afanye nini jamani?
 
Pole
nimewahi kusikia maji ya ukoko wa ugali
ananawa nayo

haswaa hii inasaidia sana
kuna mtu namfahamu alitumia haya maji ndani ya wiki mbili hakukuwa na harufu tena
pia pakaza ndimu au limao nayo inasaidia
polee
 
Pole
nimewahi kusikia maji ya ukoko wa ugali
ananawa nayo

haswaa hii inasaidia sana
kuna mtu namfahamu alitumia haya maji ndani ya wiki mbili hakukuwa na harufu tena
pia pakaza ndimu au limao nayo inasaidia
polee
khaaa! yaani hizi dawa nyengine ni balaa. Unatoa harufu ya kikwapa unaweka harufu ya ugali, ole wako upite karibu na mbwa mwenye njaa!
 
Back
Top Bottom