Alison Mremi
Member
- Mar 30, 2011
- 21
- 4
Nawashukuruni sana wadau kwa mchango wenu juu ya tatizo langu! RIWA, KAPOTOLO na wengneo wengi nawashukuruni sana! Japo kuwa nipo mkoa wa mbali kidogo na mchumba wangu lakini niliweza kumshauri na kumsihi na yeye aingie JF hapa kwenye JF doctor ili na yeye aweze kugundua tatizo lake liko wapi. Ila mpaka mda huu ashamuona daktari mhusika na ameweza kupata msaada! Niwashukuruni sana wakuu! THANK U RIWA, KAPOTOLO and others....
:fear:cha ajabu zaidi, sijaona comment yoyote kutoka kwa mwanamke, sijui ni kwa nini.anyone kama unampenda kweli na una mpango wa kuwa nae kwa muda mrefu, mpeleke hospital, otherwise piga chiniiiiiiiii.
Kamuone Gynocologist atakusaidia hilo tatizo linakwisha na lina dawa, utaendelea kuenjoy jirani, kutupa sio suluhu, unaweza kutupa wa harufu ukampata kicheche balaa..
Okey haina haja ya kuangaika wala kummwaga mlete kwangu nijue harufu gani kisha nikupe dawa lakini kwa haraka mwambie oloweke mchele yale maji yake anawe fanya hivyo muda wa siku 7