Alison Mremi
Member
- Mar 30, 2011
- 21
- 4
Nawashukuruni sana wadau kwa mchango wenu juu ya tatizo langu! RIWA, KAPOTOLO na wengneo wengi nawashukuruni sana! Japo kuwa nipo mkoa wa mbali kidogo na mchumba wangu lakini niliweza kumshauri na kumsihi na yeye aingie JF hapa kwenye JF doctor ili na yeye aweze kugundua tatizo lake liko wapi. Ila mpaka mda huu ashamuona daktari mhusika na ameweza kupata msaada! Niwashukuruni sana wakuu! THANK U RIWA, KAPOTOLO and others....