Harufu kali wakati wa kujamiiana

Harufu kali wakati wa kujamiiana

diet pia inachangia. Angalia nini anakula? sio unampiga masupu ya utumbo tu halaf unategemea atoe harufu nzuri.

-cheki afya (kama ana infection, tafuta tiba)
-gawa msosi kisayansi.
-problem solved
-nigongee senks
 
Pole sana kamanda,unatakiwa ufanye mambo yafuatayo kabla hamjaanza kujamiiana.
1.kila mnapotaka kukutana kwa round ya kwanza hakikisha unaoga naye,unampeleka bafuni unamsafisha wewe kwa kidole chako na sabuni.
2.huyo atakuwa na fungus ukeni ambazo zinasababishwa na uke kutoa aina fulani ya maji maji ambayo yanasababisha uvundo mala kwa mala,mtafutie clotrimazole pess na umpe fluconazole tabs kidonge 1 kila wiki kwa miezi 3.
3.mshauri kila anapovua nguo zake za ndani aziloweke kwenye dettol au any antiseptic.

Mtoa mada, usifuate huu ushauri hata kidogo.

Kupata prescription toka kwa mtu ambaye hujui kama ni daktari, hajui extent ya tatizo, umri au uzito wa mgonjwa lakini kakupa dozi.Fluconazole unajua pharmacology yake?

Nawashauri wanaJF mtapokuwa na tatizo ya kiafya, lolote lile, nendeni hospitali mkapate ushauri wa kidaktari.
 
Nina mpenzi wangu na kweli nampenda sana! Ila huwa nakosa raha na hata hamu wakati wa kujamiiana! Yaani anakuw anatoa harufu kali sana uken wakati wa lile tendo! Kiukwel huyu mpenzi wangu ni msafi na huwa anajijali na isingekuwa hvyo ningesema ni uchafu lakini sio! Ni ki2 gani kinachofanya mpaka sehem hzo zitoe harufu kiivyo? Naombeni msaada wadau ili nilinusuru penzi le2 coz kma tatizo litaendelea kuwa vile kuna uwezekano nikatupa kule!...

Hiyo ndo adhabu yako,kwann ulionja tunda kabla ya ndoa.......pambafiiiiii weh,na hujajijua tu hta wewe utakuwa unatoa harufu sema ni ngumu mtu kutambua his/her own smell..........ka vp wahi folen Loliondo.
 
nakubaliana na RIWA...na ninaomba fuata ushauri wa madaktari
 
Pole sana kamanda,unatakiwa ufanye mambo yafuatayo kabla hamjaanza kujamiiana.
1.kila mnapotaka kukutana kwa round ya kwanza hakikisha unaoga naye,unampeleka bafuni unamsafisha wewe kwa kidole chako na sabuni.
2.huyo atakuwa na fungus ukeni ambazo zinasababishwa na uke kutoa aina fulani ya maji maji ambayo yanasababisha uvundo mala kwa mala,mtafutie clotrimazole pess na umpe fluconazole tabs kidonge 1 kila wiki kwa miezi 3.
3.mshauri kila anapovua nguo zake za ndani aziloweke kwenye dettol au any antiseptic.

Kanyasu kuwa makini unapotoa ushauri kwa mtu mwenye tatizo, usiwe unapenda mchezo mchezo tuu kwenye masuala 'serious'!

Hapo nilipohighlight ni UONGO mkubwa na ushauri huo utapelekea tatizo la shemeji yetu kuwa kubwa zaidi.

1. Hakuna ugonjwa wa kwenye uke unaotibiwa/kuzuiwa kwa kujisafisha na maji na sabuni huko ukeni (douching)...hata fungus wa kwenye uke hawatibiwi au kuzuiwa kwa njia hiyo. Douching ndio chanzo kikubwa cha fungus kukua ukeni (candidiasis) na pia bacteria kukua ukeni (bacterial vaginosis)
2. Hilo tatizo halisema MKANDAHARI si fungus, fungus huwa hawanuki, unless kuna secondary bacterisl infection. Hata hivyo, fungus huwa wanatoa maji maji meupe mazito kama mtindi na mara nyingi wanawasha sana.
3. Hakuna madhara yeyote kama utaloweka nguo na dettol au antiseptic yeyote. Ili mradi hiyo antiseptice iwe kwenye nguo tu, na sio kwenye uke.
 
Thanx alot RIWA coz ushauri wako ni mzuri!!.... pia nawashukuruni wote kwa msaada wenu!
 
Na wewe mwenyewe mkuu, uko safi lakini? Usije kuwa unagonga sana mechi za mchangani tena kavukavu! Hiyo pia inasababisha mkuu.
 
BV inatibika kwa kutumia antibiotics, mara nyingi za cream za kuweka uko ukeni. Dawa hizi ni Metronidazole (Flagyl) vaginal cream, au Clindamycin vaginal cream...vile vile dawa ya kumeza (vidonge) inaitwa Tinidazole.
People be careful with prescriptions za hapa jukwaani, watu wanaibua google wanaziweka hapa, huyu jamaa namshangaa huwa analalamikia watu kuprescribe hapa na yeye ndio wa kwanza kufanya hivyo, Riwa stick to ur own standards. Some drugs like clindamycin are not allowed to be prescribed and obtained over the counter for fear or resistance and side effects. Though creams are topical, they can be absorbed and cause systemic side effects.

Kuna mtu pia nimeona ameprescribe sijui fluconazole hapo juu, huyu ndio ameniacha hoi kabisa. Jamani hili sio Jukwaa la Siasa, unacheza na afya za watu kama hujui please please usiandike.

People take advice from here but get prescription from a doctor that you see and not a keyboard doctor. Nashauri tu.
 
Pole sana, mkuu na mimi tatizo kama hilo lilinikumba, ila mimi niliamua kuchukua njia sio nzuri sana ay kumwaga ingawa yeye mpaka leo bado hajui kwanini nilimwaga kwani sikumwambia!!!

ulikosea sana kumuacha... vipo vidonge huwa binti anajiwekea mwenyewe kwa chini na tatizo linaisha kabisaaaaa....unaweza enda hata chumvini... pole
 
Na wewe mwenyewe mkuu, uko safi lakini? Usije kuwa unagonga sana mechi za mchangani tena kavukavu! Hiyo pia inasababisha mkuu.

kaka kama anagonga mchangani sio problem..... ila dada huyo kama anagawa ovyooo yaweza leta tatizo
 
Nina mpenzi wangu na kweli nampenda sana! Ila huwa nakosa raha na hata hamu wakati wa kujamiiana! Yaani anakuw anatoa harufu kali sana uken wakati wa lile tendo! Kiukwel huyu mpenzi wangu ni msafi na huwa anajijali na isingekuwa hvyo ningesema ni uchafu lakini sio! Ni ki2 gani kinachofanya mpaka sehem hzo zitoe harufu kiivyo? Naombeni msaada wadau ili nilinusuru penzi le2 coz kma tatizo litaendelea kuwa vile kuna uwezekano nikatupa kule!...

kaka tatizo hilo lipo...hata mie nimeli experience ...linatibika aende kwa madaktari wa afya ya uzazi... ila kama anapigwa ovyo mitaani nalo huenda ni sababu... wewe vp? umekatwa suna...au mkono wa sweta?
 
People be careful with prescriptions za hapa jukwaani, watu wanaibua google wanaziweka hapa, huyu jamaa namshangaa huwa analalamikia watu kuprescribe hapa na yeye ndio wa kwanza kufanya hivyo, Riwa stick to ur own standards. Some drugs like clindamycin are not allowed to be prescribed and obtained over the counter for fear or resistance and side effects. Though creams are topical, they can be absorbed and cause systemic side effects.

Kuna mtu pia nimeona ameprescribe sijui fluconazole hapo juu, huyu ndio ameniacha hoi kabisa. Jamani hili sio Jukwaa la Siasa, unacheza na afya za watu kama hujui please please usiandike.

People take advice from here but get prescription from a doctor that you see and not a keyboard doctor. Nashauri tu.

Thanx Kapoloto for the reminder, but I always mention 'what disease' treated with 'what drug(s)'....Thats not prescribing. Knowing ALu treat Malaria is not prescribing. I still believe that prescriptions should be done by a trained personnel (Pharmacists are one of them atleast in our setting (Bongo), and so if you know the disease..and possibly the drug, you can get a correct prescription). The issue of drug resistance is very important to consider, yet...its not a reason not to advice somebody that a certain illness can be safely and adequately treated with a certain drug. Giving information to patients/clients is one of the big problem that render our health services not adequately utilised. Like you said, people do google for stuffs, then why cant we help put that stuff in a way that they can understand and demand for better services?!
 
I guess Riwa is a health personnel and most likely a doctor, coz he's been providing relevant advice regarding the so called ''BV'' - Bacterial vaginosis.
Naomba muuliza swali afuate ushauri wake na huyo dada anaweza kutumia tu hizo dawa ambazo ''DR. RIWA'' ame-recommend, ni katatizo kanakotibika hata kwa TELEMEDICINE (you can get cured even without sitting vis-a'-vis with a doctor).
Na nitashangaa kama hadi muda huu bado muuliza swali ansubiri ushauri.

Nawakilisha!
 
vp mkuu ni yule DEMU wako uliyemfanyia abotion siku zile??
 
PELEKA HOSPITALI KWA UCHUNGUZI! HACHA KUTAFUTA TIBA ZA MTAANI HAPA JF.:bored:

Nina mpenzi wangu na kweli nampenda sana! Ila huwa nakosa raha na hata hamu wakati wa kujamiiana! Yaani anakuw anatoa harufu kali sana uken wakati wa lile tendo! Kiukwel huyu mpenzi wangu ni msafi na huwa anajijali na isingekuwa hvyo ningesema ni uchafu lakini sio! Ni ki2 gani kinachofanya mpaka sehem hzo zitoe harufu kiivyo? Naombeni msaada wadau ili nilinusuru penzi le2 coz kma tatizo litaendelea kuwa vile kuna uwezekano nikatupa kule!...
 
Thanx Kapoloto for the reminder, but I always mention 'what disease' treated with 'what drug(s)'....Thats not prescribing. Knowing ALu treat Malaria is not prescribing. I still believe that prescriptions should be done by a trained personnel (Pharmacists are one of them atleast in our setting (Bongo), and so if you know the disease..and possibly the drug, you can get a correct prescription). The issue of drug resistance is very important to consider, yet...its not a reason not to advice somebody that a certain illness can be safely and adequately treated with a certain drug. Giving information to patients/clients is one of the big problem that render our health services not adequately utilised. Like you said, people do google for stuffs, then why cant we help put that stuff in a way that they can understand and demand for better services?!

I got u Riwa, It is true that mentioning a drug is not prescribing, as prescription involves provision of the name of the drug, dosage, duration and route of administration. My worry is when you mention a drug here, people just copy it and take to the pharmarcy and whoever they find there gives a prescription, this is dangerous to some drugs, because most pharmacies do not have pharmacists rather drug sellers, whose prescriptions might be dangerous.

May I differ with you Riwa on that red. The work of a pharmacist is only to dispense a drug, all prescriptions are strictly provided by qualified doctors, and I think we should discourage prescriptions by the pharmacists.

By the way you have been doing good job here I should recognize that and keep on advising people, of-course with limits.

I insist for anyone who is not professional please provide your experience but parts of the discussion that need professionalism leave to professionals.
 
I agree with you Kapoloto...my apologies.

There is this problem of people not seeking care from health facilities, or rather...from a qualified health care provider. Some surveys show that the first point of health care seeking are 'drug shops', where the 'dispensers' are..but after recognizing this, dispensers received a short kind'of prescribing training..thats why I said 'atleats in our setting (Bongo)', and you will agree with me that now are the main prescribers of most of the non-severe illnesses (I know its wrong, but you can blame it on people's health care seeking behaviours...no wonder 'Babu' received hundreds of thousand patients in such a short time!). Thats why I always believe in answering people's worries and questions concerning their health in a very simple but truthful way to encourage them to seek care from appropriate providers.
 
Ur very right Riwa, and because of this there has been a lot of, not only drug resistances, but also disease chronicity. It is a bad habit that should totally be discouraged. The problem with bongo is the 'vodafasting' of everything, u can imagine dispensers turned into prescribers, this is way too dangerous.
 
cha ajabu zaidi, sijaona comment yoyote kutoka kwa mwanamke, sijui ni kwa nini.anyone kama unampenda kweli na una mpango wa kuwa nae kwa muda mrefu, mpeleke hospital, otherwise piga chiniiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom