Harufu kali ya mkojo wa mtoto inasababishwa na nini?

Harufu kali ya mkojo wa mtoto inasababishwa na nini?

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,727
Reaction score
6,615
Habari za humu ndani ndugu wataalam,

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nina mtoto wa mwaka na nusu, kuna kitu nimekinotisi kwenye mkojo wake. huwa mkojo wake unakuwa na harufu kali sana kuliko kawaida.

Kwa mfano akijikojolea tu ndani ya dk zisizozidi 2 mkojo wake unatoa harufu kali sana kuliko hata ya mtu mzima.

Naombeni msaada wakuu
 
Back
Top Bottom