Author JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 1,715 Reaction score 8,058 Oct 27, 2018 #1 Wana Jf habari za muda huu, Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi. Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki. Naombeni ushauri jinsi ya kuondoa harufu kwenye hivi viwalo vyangu maana nimepanga kuvitupia wiki ijayo.....
Wana Jf habari za muda huu, Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi. Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki. Naombeni ushauri jinsi ya kuondoa harufu kwenye hivi viwalo vyangu maana nimepanga kuvitupia wiki ijayo.....
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Oct 27, 2018 #2 Tumia sabuni ya kipande. Hizi za unga huwa zinakoleza harufu
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Oct 27, 2018 #3 Tumia uturi kama amba hivi
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Oct 27, 2018 #4 Mara nyingi harufu hizo huwa ni harufu za papuchi na dushe za Kizungu!
Siguta Member Joined Oct 6, 2018 Posts 88 Reaction score 114 Oct 27, 2018 #5 Jaribu kuzipiga Paso baada ya kuzifua
Vumbi la congo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 666 Reaction score 981 Oct 27, 2018 #6 Behaviourist said: Mara nyingi harufu hizo huwa ni harufu ya papuchi na dushe za Kizungu! Click to expand... nimecheka sana
Behaviourist said: Mara nyingi harufu hizo huwa ni harufu ya papuchi na dushe za Kizungu! Click to expand... nimecheka sana
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,688 Reaction score 5,129 Oct 27, 2018 #7 Wapi alipoandika kwamba anataka kuvitupa!? Vumbi la congo said: mkuu kuliko kuzitupa mpe hata kichaa atazivaa pia utakua na fungu lako kesho kwa mungu Click to expand...
Wapi alipoandika kwamba anataka kuvitupa!? Vumbi la congo said: mkuu kuliko kuzitupa mpe hata kichaa atazivaa pia utakua na fungu lako kesho kwa mungu Click to expand...
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Oct 27, 2018 #8 Anza kununua za dukani
Mkwaha JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 1,688 Reaction score 3,182 Oct 27, 2018 #9 Unataka kuniambia hii ndiyo mara yako ya kwanza kutumia nguo za mtumba??. Hebu Jiongeze kabla sijakutandika swali la pili.
Unataka kuniambia hii ndiyo mara yako ya kwanza kutumia nguo za mtumba??. Hebu Jiongeze kabla sijakutandika swali la pili.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Oct 27, 2018 #10 Ile harufu huwa nai-,mind sijui kwanini...
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Oct 27, 2018 #11 Otorong'ong'o said: Ile harufu huwa nai-,mind sijui kwanini... Click to expand... kama papuchi eehh !!?
Otorong'ong'o said: Ile harufu huwa nai-,mind sijui kwanini... Click to expand... kama papuchi eehh !!?
King Sae JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 3,282 Reaction score 6,471 Oct 27, 2018 #12 ..piga maji timba hakuna atakaye kuuliza kwanini umevaa mtumba,kwani ni moja ya manukato amazing sana. Ila uspende sana kukunua mitumba ya bukubuku ndizo zenye harufu kali sana
..piga maji timba hakuna atakaye kuuliza kwanini umevaa mtumba,kwani ni moja ya manukato amazing sana. Ila uspende sana kukunua mitumba ya bukubuku ndizo zenye harufu kali sana
Author JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 1,715 Reaction score 8,058 Oct 27, 2018 Thread starter #13 Behaviourist said: Mara nyingi harufu hizo huwa ni harufu ya papuchi na dushe za Kizungu! Click to expand... Ah ha haaa haaaa....acha utani jamaa
Behaviourist said: Mara nyingi harufu hizo huwa ni harufu ya papuchi na dushe za Kizungu! Click to expand... Ah ha haaa haaaa....acha utani jamaa
Author JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 1,715 Reaction score 8,058 Oct 27, 2018 Thread starter #14 yna2 said: Anza kununua za dukani Click to expand... Asante kwa ushauri...
Author JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 1,715 Reaction score 8,058 Oct 27, 2018 Thread starter #15 King Sae said: ..piga maji timba hakuna atakaye kuuliza kwanini umevaa mtumba,kwani ni moja ya manukato amazing sana. Ila uspende sana kukunua mitumba ya bukubuku ndizo zenye harufu kali sana Click to expand... Asante kwa ushauri Sae
King Sae said: ..piga maji timba hakuna atakaye kuuliza kwanini umevaa mtumba,kwani ni moja ya manukato amazing sana. Ila uspende sana kukunua mitumba ya bukubuku ndizo zenye harufu kali sana Click to expand... Asante kwa ushauri Sae
Prince Dos Santos JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 1,047 Reaction score 1,321 Oct 27, 2018 #16 Jasho la muzungu
Author JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 1,715 Reaction score 8,058 Oct 27, 2018 Thread starter #17 Sio mara ya kwanza mzee,,,ila ila hizi kila nikizifua harufu ya mtumba haitoki... Mkwaha said: Unataka kuniambia hii ndiyo mara yako ya kwanza kutumia nguo za mtumba??. Hebu Jiongeze kabla sijakutandika swali la pili. Click to expand...
Sio mara ya kwanza mzee,,,ila ila hizi kila nikizifua harufu ya mtumba haitoki... Mkwaha said: Unataka kuniambia hii ndiyo mara yako ya kwanza kutumia nguo za mtumba??. Hebu Jiongeze kabla sijakutandika swali la pili. Click to expand...
cmases JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 1,763 Reaction score 1,432 Oct 27, 2018 #18 Tumia sabuni za maji!!
Sammo Hung JF-Expert Member Joined Aug 4, 2017 Posts 1,151 Reaction score 1,321 Oct 27, 2018 #19 Loweka kwa sabuni ya unga acha zilale hadi kesho, zikiendelea kutoa harufu rudisha kwa aliyekuuzia.
Author JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 1,715 Reaction score 8,058 Oct 27, 2018 Thread starter #20 Poa poa mzee Sammo Hung said: Loweka kwa sabuni ya unga acha zilale hadi kesho, zikiendelea kutoa harufu rudisha kwa aliyekuuzia. Click to expand...
Poa poa mzee Sammo Hung said: Loweka kwa sabuni ya unga acha zilale hadi kesho, zikiendelea kutoa harufu rudisha kwa aliyekuuzia. Click to expand...