Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaisha tu usijali; haina madhara yoyote kwako. Ilimradi unazifua kabla ya kuzivaa you are ok. Wakati wa kusuuza unaweza kutumia fabric softener, ambayo inasaidia nguo kuwa laini (magadi ya sabuni yanakakamaza nguo) pia zina harufu nzuri….Wana Jf habari za muda huu,
Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi.
Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki.
Naombeni ushauri jinsi ya kuondoa harufu kwenye hivi viwalo vyangu maana nimepanga kuvitupia wiki ijayo.....
Itaisha tu usijali; haina madhara yoyote kwako. Ilimradi unazifua kabla ya kuzivaa you are ok. Wakati wa kusuuza unaweza kutumia fabric softener, ambayo inasaidia nguo kuwa laini (magadi ya sabuni yanakakamaza nguo) pia zina harufu nzuri….
Ni kwamba hiyo harufu huipendi au unataka ufiche ukweli uonekane unavaa za dukani?[emoji4] [emoji4] mbona harufu yake nzuri tuWana Jf habari za muda huu,
Bhana nimesagula viwalo vyangu mnadani ila kila nikivifua harufu ya mtumba haiishi.
Nimetumia sabuni kama aerial, Omo, jamaa ila wapi kitu hakitoki.
Naombeni ushauri jinsi ya kuondoa harufu kwenye hivi viwalo vyangu maana nimepanga kuvitupia wiki ijayo.....
Sabuni ya kusuuzia nguo hii, ukishazisuuza weka kwenye maji tena mimina kifuniko 1-2 ziache kama dk 15 hivi kisha kamua anika... Nguo zinabaki na harufu nzuri, unaweza kuitumia hata nguo zako za kila siku.Wana Jf habari za muda huu,