Harufu kwenye nguo za mtumba imekataa kuisha; nitumie nini?

Itaisha tu usijali; haina madhara yoyote kwako. Ilimradi unazifua kabla ya kuzivaa you are ok. Wakati wa kusuuza unaweza kutumia fabric softener, ambayo inasaidia nguo kuwa laini (magadi ya sabuni yanakakamaza nguo) pia zina harufu nzuri….
 
Asante sana Dora

Nunua sta soft fabric conditioner ya kusuuzia nguo........yenye flavor ya peach itakata kila kitu... IPO masupamaket yote
 
Ni kwamba hiyo harufu huipendi au unataka ufiche ukweli uonekane unavaa za dukani?[emoji4] [emoji4] mbona harufu yake nzuri tu
 
zipulizie moshi wa sigara harufu itakata
 
Tafuta sabuni ambayo ina harufu yake special tu, halafu usianike juani ijaribu kuiweka kwenye kivuli ili ikauke na wala isikaushiwe juani.
 
Sabuni ya kusuuzia nguo hii, ukishazisuuza weka kwenye maji tena mimina kifuniko 1-2 ziache kama dk 15 hivi kisha kamua anika... Nguo zinabaki na harufu nzuri, unaweza kuitumia hata nguo zako za kila siku.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…