Pole mkuu ila ungetaja aina ya mifugo yako ili wenye uzoefu wakusaidie, kama ulivyosema endelea na usafi watakuja wataalamu wakupe ujuzi zaidiMsaada dawa ya kuondoa harufu mbaya kwenye banda la mifugo kwani kila cku tunalifanyia usafi ila bado linatoa harufu hasa msimu wa mvua,hii harufu imekua ikiwa ni kero kwa majiran na nyumban kwetu pia,na sisi hatuwez kuacha kufuga sababu hii mifugo ndo inatubeba familia.
Nina dawa maalum ya aloevera ina harufu nzuri sana. Lita 1 nauza TSH 3000 ulitaka lita ngapi na uko wapi?Inafaa kwa ufugaji wa aina zote
nipo morogoro,inatumika vp hiyo dawa,