Msaada dawa ya kuondoa harufu mbaya kwenye banda la mifugo kwani kila cku tunalifanyia usafi ila bado linatoa harufu hasa msimu wa mvua,hii harufu imekua ikiwa ni kero kwa majiran na nyumban kwetu pia,na sisi hatuwez kuacha kufuga sababu hii mifugo ndo inatubeba familia.