Harufu mbaya mdomoni na UKE

Joined
Dec 1, 2017
Posts
39
Reaction score
43
Nilikuwa na binti mmoja ambaye ni X wngu kwa sasa,

Binti huyo tulikutana chuo akiwa mwaka wa pili na mimi nikiwa mwaka wa kwanza.

Nilimpenda na kumtongoza hatimaye tukakubaliana na kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, ila chakushangaza alinipenda na nikampenda pia lakini suala ya kukutana kimwili alikuwa anakwepa sana,

Alipofika mwaka wa tatu semester ya mwisho ndipo alikubali kufanya mapenzi, Pamoja na kunikubalia lakini nilipata shida sana wakati wa sex,

Maana alikuwa anatoa harufu mbaya mdomoni pamoja na UKE ndipo nilipogundua sababu kubwa ya yy kunikwepa kusex kwa mda wa mwaka mzima tukiwa kwenye mahusiano.

Je? inaweza kuwa tatizo gani kwa mwanamke kutoa harufu mdomoni pamoja na uke? Na anatakiwa kufanya nini ili kuondoa hiyo hali inayomnyima raha ya kukutana na wanaume?

Wale mnaujua dawa mbalimbali za miti shamba na wale madoctors mnaujuwa dawa za hospital naomba kusaidiwa dawa ili niweze kumsaidia X wngu maana bado nampenda.

NB: kama usafi ni msafi sana na anapiga msawaki kila anapomaliza kupata chakula na anaoga mara tatu kwa siku.
 
Ajitahidi kunywa maji mengi na aende hospital pia atapata ushauri zaidi na kutibiwa kifasaha

Kupiga mswaki ahakikishe anasugua na ulimi, aepuke kuweka mavitu sehem zake za siri, asivae nguo za ndani zikiwa na ubichi na ahakikishe zinaanikwa juani, pia anapoenda haja kubwa ahakikishe ananawa kuanza mbele kwenda nyuma sio nyuma kuja mbele, na anawe kwa maji mengi na nguo za ndani zisibane
 
mpe "Ampicroxaclin" 1×3/5/7 matatizo hayo kwisha kabisa!!
(kama vp pm me)
 
Dawa hipo uhakika kabisa mm nipo nje kuna watu wemepata dawa za mdomo na chini ni maumbile sio mswaki wala kukoga jaribu kuonge na watu wa europé daa zipo kama unataka jina ntakufahamisha
 
Kama ulikua unampenda kwel kwanini msingesaidiana kwenda hospitali ili mpate kujua shida nn. Lkn umeshamuacha afu ndo unakuja kuomba ushauri, halafu unasem ukipata dawa utamrudia ukikuta wanaojua kupenda wameshachukua utarudi tena hapa kulialia
 
Dawa hipo uhakika kabisa mm nipo nje kuna watu wemepata dawa za mdomo na chini ni maumbile sio mswaki wala kukoga jaribu kuonge na watu wa europé daa zipo kama unataka jina ntakufahamisha
Uke ni sehem nyeti sana inatakiwa iwe handled with care, dawa ipo je umejuaje ana ugonjwa ambao unaendana na hiyo dawa???
 
Uke ni sehem nyeti sana inatakiwa iwe handled with care, dawa ipo je umejuaje ana ugonjwa ambao unaendana na hiyo dawa???
harufu mbaya mdomo na uke kutokana na maeelezo yake
 
Kama ulikua unampenda kwel kwanini msingesaidiana kwenda hospitali ili mpate kujua shida nn. Lkn umeshamuacha afu ndo unakuja kuomba ushauri, halafu unasem ukipata dawa utamrudia ukikuta wanaojua kupenda wameshachukua utarudi tena hapa kulialia
Hana ujanja wa kunigomea pale nitakapoamua kurudi
 
Nimekuelewa mkuu, ila nahitaji ushauri wako
Swala la 1 ni aende hosptalini afanyiwe kipimo kina itwa HVS( high viginal swab) pamoja na Examination zote ili waweze jua kama ana parasitic infection kama TV( trichomonas vaginalisis) au fungal infection kama candidiasis na ata viral infection kama HPV. Au bacteria infection kama haemophilus ( soft chancroid) na other STDs.

Kama kutakuwa hana infection yyte ata pata ushauri kutokana na jinsi dakitar atakavyo ona ni sahihi.

Swala la mdomo i know nothing kuhusu ilo labda awe ana tumia hydrogen peroxide ( mouth wash) mswaki 1x3 per day... yaweza kuwa infction kama gingivitis.
 
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…