Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Oct 15, 2015 #1 Assalam Wakuu . Nina Staff mwenzangu anatoa harufu mbaya puani, huwa anakuwa na mafua ya ndani kwa ndani. Ninashindwa kumwambia kuwa anatoa harufu mbaya. Naombeni ushauri wa dawa itakoyomfaa ni mnunulie surprise.
Assalam Wakuu . Nina Staff mwenzangu anatoa harufu mbaya puani, huwa anakuwa na mafua ya ndani kwa ndani. Ninashindwa kumwambia kuwa anatoa harufu mbaya. Naombeni ushauri wa dawa itakoyomfaa ni mnunulie surprise.
ashrafshu JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 302 Reaction score 141 Oct 15, 2015 #2 mwambie tuu sasa atajuaje unafikir
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Oct 15, 2015 Thread starter #3 ashrafshu said: mwambie tuu sasa atajuaje unafikir Click to expand... Nipo mbioni kumwambia,ningependa kumshauri na dawa itakayo msaidia kutokana na ushauri wa madaktari walio humu jamvini
ashrafshu said: mwambie tuu sasa atajuaje unafikir Click to expand... Nipo mbioni kumwambia,ningependa kumshauri na dawa itakayo msaidia kutokana na ushauri wa madaktari walio humu jamvini