Harufu mbaya puani

Harufu mbaya puani

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Assalam Wakuu .

Nina Staff mwenzangu anatoa harufu mbaya puani, huwa anakuwa na mafua ya ndani kwa ndani.

Ninashindwa kumwambia kuwa anatoa harufu mbaya.

Naombeni ushauri wa dawa itakoyomfaa ni mnunulie surprise.
 
Back
Top Bottom