Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Nikiskia hizi mada nakua uncomfortable na papuchi yangu nakua sielewi harufu hii nanayoisikia ndiyo kunukia ama kunuka[emoji848] labda mtuambie mnaskia harufu gani hadi ujue hii inanuka na hii inanukia ? Why useme huyu ananuka huyu ananukia?
Unaijua Harufu ya Samaki aliyeoza wewe??

Unaijua harufu ya Nyama iloanza toa funza yaan mzoga???


Sasa hiy ndo wajuba tunajadili hapa.
 
Wadau imetosha kujadili K zinazonuka. Em fanyeni kazi aisee acheni haya mambo.
Hili suala tunalojadili hapa sio la kitoto.

Wao waliwah jadili nguvu zakiume mpaka Likafika bungeni....maana kwao ni kero.



Kwa Taarifa yako, Adamu aliona wanyama wengine wanapigana miti, akaona nyeto itamuhusu akaamua kuomba Mke..

Tunaposema Mke/Mwanamke wako, jambo lakwanza kukuijia kichwani ni "K yake"


Sasa K ikiwa inanuka mzoga, utamuita Mke kweli????


Wacha tuwaambie bana.
 
Hili somo lipelekwe mashuleni huko likafundishwe kwa vijana wa kike na wa kiume. Ni mara ngapi mnataka tuwaeleweshe kuwa mkiona maharufu huko pelekaneni hospital akatibiwe magonjwa kama BV na magonjwa mengine ambayo ni STD's.

Kingine hizo semen zenu zinachangia kwa kiasi kikubwa kubadili hali ya harufu ya uke, Sometimes tatizo sio uke bali kilichoingia ukeni. While semen ni Alkaline, vagina ni acidic. Hivyo zikiingia lazima zibadili PH ya vagina. ndio hapo kinaanza "kuumana". It takes a healthy Vagina, with a healthy life style to maintain its nature smell.

Lakini, nimekuja kugundua watoto wa kiume si wavumilivu na hawana vifua kabisa, mtu akikutana na msichana huko ana harufu anakimbilia kupandisha uzi humu, Sijawahi ona mwanamke/Msichana humu analalamikia uchafu wa ME. Ndio kusemaje? kwamba wanaume wote ninyi ni wasafi na wanawake humu wanakutana na wanaume wasafi tu?
Ona huyu naye.. Hujawah ona uzi wa mwanamke analalamika, Jamaa anatomba Dakika 2-3 ??????


Kama K inatoa harufu isofaaa tafuta tiba..usione Aibu.
 
Teh! mimi huyu nitafute tiba? Haya.....
Ndio utafute Tiba kama K inatoa/itatoa harufu isokawaida.

Au Ujitibu mwenyewe kama uko upande wa afya endapo K inatoa/itatoa harufu isokawaida ( naamin unaelewa)

Kama K yako haitoi/haitatoa harufu isokawaida, basi endelea kua msafi.

Usafi wa K sio kufanya Douches , kuipiga spray, nasiku hizi haya mataiti nanamchupi yenu ya Nylon ndo kabisaaaaaaaa K inakua km mzoga n.k
 
Ndio utafute Tiba kama K inatoa/itatoa harufu isokawaida.

Au Ujitibu mwenyewe kama uko upande wa afya endapo K inatoa/itatoa harufu isokawaida ( naamin unaelewa)

Kama K yako haitoi/haitatoa harufu isokawaida, basi endelea kua msafi.
Usafi wa K sio kufanya Douches , kuipiga spray, nasiku hizi haya mataiti nanamchupi yenu ya Nylon ndo kabisaaaaaaaa K inakua km mzoga n.k
Hayo nimewahi kuyaeleza humu zaidi ya mara 10 katika nyuzi mbalimbali zinazofanana na huu.

Asante kwa ushauri, nitajitibu/tibiwa.

samaleko! 😀
 
Hivi ulishawahi kukutana na mwanamke akivua tu chupi inatoka harufu kali lakini kikwapa ananukia manukato? Je, ulishawai kutana na mwanamke mpo faragha ile kumuweka doggy style inatoa harufu kama za dampo?

Nilishawahi kutana na wawili wa aina hii, mmoja tulikutana tu nikiwa Arusha miaka kama mitatu iliyopita halafu msimu wa baridi nilihisi kama nimeingiza paka aliyekufa na mwingine mwaka jana ana bonge la mattercall kabla ya kugegedana akaingia bafuni kuoga namkunja lakini bado harufu nikaisikia.

Hii kitu kitabibu inatokana na nini?
Hongera kwa "kuzini na wanawake tofasuti, ukifa utapewa wanawake 70 zaidi tena ma bikra".

HARUFU tunasababisha sisi wenyewe, mwanamke unavaa bikini, skini tight, yuwee na juu unapiga jeans tight yaani mbunye haipumui na bakteria wanaoza na kufia ndani ndio maana harufu inakuwa kali.

Wanafunzi wengi wanatumia morning after pill zil za kuchomeka ukeni baada ya sex, nazo zinaleta fungus na uvundo wa harufu kali.
 
Unaijua Harufu ya Samaki aliyeoza wewe??

Unaijua harufu ya Nyama iloanza toa funza yaan mzoga???


Sasa hiy ndo wajuba tunajadili hapa.
Duuuh basi kama ndiyo harufu hizo mnajadili basi wakuu nyie mna tabia mbaya, yaani harufu ya papuchi ifanane na samaki aliyeoza kweli?😀 hata kama mtu hajaoga vipi ila haiwezi fikia harufu ya mzoga bana acheni hizo wanaume🤔
 
Back
Top Bottom