Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Nasubiri mtazamo wako juu ya hili mkuu au wewe hujui kutofautisha kinachonukia na kunuka?[emoji12]
Hahhah..ingawa mim sjawai kutana na mtu wa hali hyo..ila nahis usafi unahusika..na kutulia...mdada akiwa msaf..anajua kuoga..anatumia deodorant.anaoga na sabun nzur...na anajipenda..sidhan kama atapata hyo shida...labda apate maambukiz ya bacteria etc..ni kumuona Dr. Tu

Ila dah..mi nahis nikimeet mtu wa hali hyo..hata jogoo anaweza asiwike kabisaaaa
 
Inayonukia inabidi iwe kama harufu kama ya kutu(rust) mpya kwenye chuma..maridadi kabisa.

Kunuka ni unpleasant,mfano harufu ya shombo la samaki,mzoga,jasho kali n.k.
Aisee haya ahsante mkuu ntakua nikijikagua mara kwa mara.
 
Humu watu naona wamefunguka kuhusu K kutoa harufu fulani hivi isiyostahimilika.

Anyway yote katika yote ukikutana na ile inayostahimilika inaongeza na mvuto wa kugegeda tofauti na unavyokutana na kijiharufu kile matata....jogooo atashindwa wika aseeee
 
Back
Top Bottom