Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Unakutana na unaofanana nao, sijawahi kusikia mwanamke anaweka perfume kwenye sehemu za siri, sehemu za siri ni very sensitive na zinapaswa kutunzwa kwa uasili wake, hao wanaonuka unakutana nao wapi?
Tatizo lako Abrianna unadhani ni pafyumu za kupuliza sio hizo mnatumia maji ya hiriki. Sasa unadhani mi mjinga nidanganye? Tunahitaji harufu ya asili ya papuchi.
 
Tatizo lako Abrianna unadhani ni pafyumu za kupuliza sio hizo mnatumia maji ya hiriki. Sasa unadhani mi mjinga nidanganye? Tunahitaji harufu ya asili ya papuchi.
Pale mtu anapounga papuchi na viungo vya chai[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka sana, hii ni mpya naisikia kwako, anyway ukikutana nao next time waelekeze namna ya kutunza papuchi zao kwa uasili, na ukiona hapaeleweki peleka kwa daktari pengine kuna bakteria wabaya wameingia na wanahitaji tiba
 
Back
Top Bottom