Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Apo kwenye asilia ndiyo nakua sielewi ikiwa inanukiaje ndiyo asilia? Kuna harufu nyingi ya chungwa ,strawberry nk. Sasa papuchi inabidi inukie harufu gani[emoji848][emoji12]
Kuelezea harufu ni ngumu kidogo lakini ni kweli papuchi inayotunzwa vizuri huwa ina harufu yake original. Hiyo harufu mimi nikiisikia huwa nachanganyikiwa kabisa
 
Hiyo ambayo haina kero inakuwaje? Maana siku hizi nyie mnatuboa mnaosha papuchi na kupiga pafyumu tunakosa ile harufu ya asili ya papuchi.

Papuch ikikutana na pafyum hatar
 
Sawa mkuu tutawasiliana kwa mchakato wa kunusa hii papuchi😀
 
Unakutana na unaofanana nao, sijawahi kusikia mwanamke anaweka perfume kwenye sehemu za siri, sehemu za siri ni very sensitive na zinapaswa kutunzwa kwa uasili wake, hao wanaonuka unakutana nao wapi?
Yawezekana wanukao wana matatizo kama fangasi,yeast na magonjwa mengine.

Kuna ng'onda inatema inakata stimu kabisa. Hata unaagana nae harufu bado unaikumbuka hata week ipite ukikumbuka mate yanajaa mdomoni kichefu chefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…