Harufu ya Abroad ndani ya viunga vya Ofisi ya Uhamiaji

Harufu ya Abroad ndani ya viunga vya Ofisi ya Uhamiaji

mbalaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
2,240
Reaction score
2,629
Nipo Ofisi za Uhamiaji hapa, ninasubiri huduma ila mtandao unazingua hivyo huduma zimesimama.

Kuna watu wa kila rangi hapa, na wengi wanaongea lugha ya Malkia, ninapata hisia fulani kama vile already nipo Abroad.

Kumbe harufu ya Abroad inaanzia OFISI YA UHAMIAJI penyewe.
 
Back
Top Bottom