Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mwenyewe nilisikia ila siyo maji yenye vinyesi,nilisikia kama maji yenye madini sijui ni madini gani,wanapoyatumia yale maji homones hubadilika na ujinsia!ni kitu kama hicho.
Kasheshe....itabidi nasi tutafiti kwa wanaume wanaofanya kazi kweny magari ya kunyonya kinyesi, inawezekana wengi wao mashoga?!