Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
leo asubuhi nimesikia toka redioni uchambuzi wa magazeti na kusikia habari moja ya ajabu kiasi. Nadhani inatoka amerika ya kusini. Bahati mbaya sikusikia ni gazeti gani. Kwamba wanaume wanakuwa mashoga kutokana na maji ya kinyesi yanayopita maeneo wanakoishi! Hii imekaaje? Tunaomba mwenye hiyo habari atuwekee humu ili matabibu watudadavulie