Lovely unampenda sana mpenzi wako ukimnusa unajiskia raahaaa πHarufu ya mwili wa mpenzi wangu,aisee natamani kumtafuna
Namaanisha ukipenda kweli basi hata akiwa mbali utagundua ujio wake kwa kaharufu kake murua...
Nguo zake unapotaka kufua uwe unazinusa kwanza,umesikia mleta mada
Sahihi,ni nzuri pia,kama sisi wenyewe tunajijua nyinyi kwanini msijueKuna mtu atakuja kusema harufu ya palipopigwa na shoka.
Sasa we waza ujinga wako.
Nini hiyo unaizungumzia tobebeSahihi,ni nzuri pia,kama sisi wenyewe tunajijua nyinyi kwanini msijue
Penzi jipya kipenzi,nipe muda kidogo afu uje ulete mada hii tena...afu uje usome comment yangu π€Lovely unampenda sana mpenzi wako ukimnusa unajiskia raahaaa π
Kinoma mkuu hata kama n ya kibeberuUnyama sana unajikubali
πNini hiyo unaizungumzia tobebe
Pale unyamani ππ
Hatare kuna huyo ex wangu nilikuwa napenda kaharufu ka chupi zake maana ni msafi balaa ananukia 24/7, wadada muoge vizuri inatuturn on sana.Penzi jipya kipenzi,nipe muda kidogo afu uje ulete mada hii tena...afu uje usome comment yangu π€