Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

Harufu ya mwili wa mpenzi wangu,aisee natamani kumtafuna
Namaanisha ukipenda kweli basi hata akiwa mbali utagundua ujio wake kwa kaharufu kake murua...
Nguo zake unapotaka kufua uwe unazinusa kwanza,umesikia mleta mada 😘
Mkuu una ujauzito?
Maana maelezo yako yamegusa 'mule mule'!
 
Harufu ya udongo baada ya matone kadhaa ya mvua πŸ˜…
Smell of a nature 🀣🀣
 
TENA UPATE TUMBUA HASWA LIMETUNATUNA LANUKIA NA KUMEREMETA πŸ™‚
Naam kiwe laini,ukubwa wa wastani,kisiwe kikavu then kiswe kimeungua..ubalansi tuchumvi na sukari πŸ˜‹
 

Attachments

  • 20250413_041706.jpg
    174.4 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…