Mzoga ule unaokaribia kuoza oza funza wawepo asee napendasana tena ukute wa paka au mbwa ndo unanuki vizuriKwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu.
Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi?
Copy to:
secretarybird | Binti Sayuni03
To yeye | Joanah | dosho12
Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
zamani ulikuaga fisi kabla hujazaliwa mwanadamuMzoga ule unaokaribia kuoza oza funza wawepo asee napendasana tena ukute wa paka au mbwa ndo unanuki vizuri
Ni hatari kulamba lamba sehemu ambayo Daktari anashika akiwa kavaa Gloves.Acha kabisa, uvinza nimeweka makazi japo kila siku wanasema kuna madhara
HapanaMkuu sio mimba hiyo kweli
Au siozamani ulikuaga fisi kabla hujazaliwa mwanadamu
Hivi uko si kuna wachawi sana ,?umeezaje kuishiAcha kabisa, uvinza nimeweka makazi japo kila siku wanasema kuna madhara
Unadhani ni strange Twinnie, nadhani watu wengi wanapenda including me.binti kiziwi it's strange Ila usinicheke,Me napenda harufu ya mkate ukitoka jikoni,.nilikua napenda kwenda jioni antique oven kununua mikate nisikie harufu tu, smells good than a Candy shop.,.
scent ya warm bread fresh from the oven Napenda.... unapenda harufu ya Nini pacha??
Nakuamini if you say something good huwa inakua zaidi ya nzuri,if it's smells that good Hakuna namna we can make a perfume out of it tupige Hela??Kiziwi Limited edition...damn busnez ideaUnadhani ni strange Twinnie, nadhani watu wengi wanapenda including me.
Mi napenda harufu ya K yangu! π€¦π»ββοΈ Na pia harufu ya udongo ukilowa, au ukinyeshewa na mvua.
Yana bei gani gentlemen?Napenda harufu ya manukato ya Dior Sauvage Elixir