Harufu ya kondomu inaninyima raha!

Harufu ya kondomu inaninyima raha!

hargeisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
549
Reaction score
42
Ndg zangu ninapotaka kuduu kwa ukweli kondomo inanisumbua sana harufu yake
nimejaribu sana kuvumilia nashindwa bora harufu ya K************* naweza vumilia
kuacha kutumia naogopa lakini sina raha na kitu hiki nisaidiwe
plse
 
unatumia za kiswahili sana,mbona zipo mpk zenye harufu ya strawberry,nanasi,embe?acha tu kutumia halafu utaona cha moto
 
Ndg zangu ninapotaka kuduu kwa ukweli kondomo inanisumbua sana harufu yake
nimejaribu sana kuvumilia nashindwa bora harufu ya K************* naweza vumilia
kuacha kutumia naogopa lakini sina raha na kitu hiki nisaidiwe
plse

kondomo ndio nini misijaielewa..
 
Ndg zangu ninapotaka kuduu kwa ukweli kondomo inanisumbua sana harufu yake
nimejaribu sana kuvumilia nashindwa bora harufu ya K************* naweza vumilia
kuacha kutumia naogopa lakini sina raha na kitu hiki nisaidiwe
plse

Uwe unatumia 3 Bomba zinamanukato mbali mbali kama ndizi, chocolate na nanasi
 
:director: OA mkuu ili uwe unakula kavukavu, ila usisahau kupima kabla hamjaoana na mwenza wako!
 
afu wewe mi natamanihi kulamba au kuiyafuna kitu kina harufu ya banana au strawberry hahaaaa ...otherwise gonga kavu ndo mpango mzima..
 
pia odourless condoms zipo (zisizo na harufu kabisa) tembelea big pharmacy and ask for that, utapata
 
we nawe sasa unaitumia ya nini? gonga nyama kwa nyama upate mtoto.Nalog off
 
ach uzinzi kijana na umrudie muumba wako maana siku za mwisho zii karibu umenisoma kaka
 
Back
Top Bottom