Harufu ya Rushwa CCM Mkutano Mkuu

HUPATI UONGOZI NDANI YA CCM BILA KUTOA RUSHWA RUSHWA NI IPO KTK AHADI ZA CHAMA NA NDIO MAANA HUTASIKIA MTU KAKAMATWA KWA KUTOA AU KUPOKEA RUSHWA
 

Kuna chama hakina rushwa? Rushwa na Mtanzania Yai na kuku.
 
Ukiondoa CCM ya Mwalimu, rushwa kwenye chaguzi za CCM limekuwa ni jambo la kawaida sana. Ni mfumo uliokubalika ndani ya CCM. Ndiyo sababu pia, hata Serikali inayoundwa, huwa imejengeka katika misingi ya kujitajirisha kwa wateule kupitia rushwa na ufisadi.
 
Wajumbe was mkutano mkuu wa CCM wapo zaidi ya 2000 na kama mtu amehonga million 5 kwa kila mjumbe maana yake kiwango kinachohitajika ni billion 10 ,uongo wako umekosa script
Unamjua GSM NA ROSTAM ? hao ndiyo wapo kwenye hatua za mwisho kuchukua ccm yote na kupandikiza watu wao ndiyo maana unaona kwa sasa hata picha za rushwa zikivuja hakuna polisi wala takukuru wanasema neno hata moja kunawatu wanaunda team yso kamili ya WAHUNI NDANI YA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…