A
Anonymous
Guest
Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu.
Kinachoshangaza ni kwamba baadhi yetu tunakatwa mishahara, lakini wenzetu wengine hadi leo hawakatwi bila sababu yoyote. Pia kuna fununu kuwa baadhi ya wasiokatwa walikutana na Afisa Utumishi, Gaudensia Mboya, na wakayamaliza.
Je, hii ni haki kwamba baadhi yetu tunaadhibiwa, huku wengine wakiachwa, ilhali kosa na hukumu vilikuwa ni vilevile?
Miongoni mwa ambao hawakatwi ni Lyimo (Mhasibu), pamoja na wengine wengi.