Wakuu, hizo kadi tatu alizipata kwenye mechi zipi? Pana tetesi kuwa kadi ya kwanza alipata kwenye mechi ya ngao ya hisani!
Maamuzi ya kupokonywa point azam hayaibebi yanga kwasababu kabla ya azam kupokonywa point, yanga ameshampita point nyingi sana azam na ikiwa zimebakia mechi chache. Huu mpango wa kuwapokonya azam point unawabeba Simba fc ili washike nafasi ya pili nao wakaonje michuano ya kimataifa. Azam na simba wameachana point chache lakini kwa yanga azam kaachwa point nyingi. Ukitafakari kwa kina zaidi ni kwamba Maamuzi ya TFF yanawabeba simba. Simba ishike nafasi ya pili na azam ishike nafasi ya tatu.Duh... Azam na Mbeya City wamepanga matokeo ili Yanga achukue ubingwa.
Tartiiiiibu! Kirahiiiiiiiisi!!! Kama wanamsukuma mlevi vile....😀😀Wazee wa kampa kampa tena wameshaanza kuandaa pilau,hakika daima mbele nyuma mwiko.
Maamuzi ya kupokonywa point azam hayaibebi yanga kwasababu kabla ya azam kupokonywa point, yanga ameshampita point nyingi sana azam na ikiwa zimebakia mechi chache. Huu mpango wa kuwapokonya azam point unawabeba Simba fc ili washike nafasi ya pili nao wakaonje michuano ya kimataifa. Azam na simba wameachana point chache lakini kwa yanga azam kaachwa point nyingi. Ukitafakari kwa kina zaidi ni kwamba Maamuzi ya TFF yanawabeba simba. Simba ishike nafasi ya pili na azam ishike nafasi ya tatu.
So, Erasto Nyoni alicheza kihalali kabisa?Huu mpango wa kuwapokonya azam point unawabeba Simba fc ili washike nafasi ya pili .
Huwezi kujua. Pengine Yanga inaweza kugomea tena CECAFA riziki ikamwangukia mshindi wa pili. Nani alitarajia Mbao ingepanda Ligi Kuu?Endeleeni kuota hivyo hivyo. Nani aliwadanganya mshindi wa Pili VPL anashiriki mashindano ya kimataifa au unazungumzia yale ya Nile Basin?
Kwa taarifa yako tu labda umesahau. Mshindi wa Ligi Kuu bara anakwenda kushiriki Klabu Bingwa na Mshindi Wa Azam Federation Cup anakwenda kushiriki kombe la shirikisho.
Zaidi ya kuambulia zawadi ya Mdhamini Mshindi wa pili Ligi kuu atashiriki mashindano ya Mchangani tuu
Huwezi kujua. Pengine Yanga inaweza kugomea tena CECAFA riziki ikamwangukia mshindi wa pili. Nani alitarajia Mbao ingepanda Ligi Kuu?
Kama yanga akichukua ubingwa wa ligi kuu na pia akichukua na ubingwa wa kombe la azam confederation cup. Je yanga watashiriki mashindano yote ya shirikisho CAF na klabu bingwa Africa?Endeleeni kuota hivyo hivyo. Nani aliwadanganya mshindi wa Pili VPL anashiriki mashindano ya kimataifa au unazungumzia yale ya Nile Basin?
Kwa taarifa yako tu labda umesahau. Mshindi wa Ligi Kuu bara anakwenda kushiriki Klabu Bingwa na Mshindi Wa Azam Federation Cup anakwenda kushiriki kombe la shirikisho.
Zaidi ya kuambulia zawadi ya Mdhamini Mshindi wa pili Ligi kuu atashiriki mashindano ya Mchangani tuu
Yanga ikichukuwa ubingwa wa VPL atashiriki Kombe la club bingwa barani Afrika Na kama atachukua kombe la Azam sports Federation cup basi mshindi wa pili ataiwakilisha Tanzania kwenye kombe la shirikisho barani Afrika.Kama yanga akichukua ubingwa wa ligi kuu na pia akichukua na ubingwa wa kombe la azam confederation cup. Je yanga watashiriki mashindano yote ya shirikisho CAF na klabu bingwa Africa?
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Yanga ikichukuwa ubingwa wa VPL atashiriki Kombe la club bingwa barani Afrika Na kama atachukua kombe la Azam sports Federation cup basi mshindi wa pili ataiwakilisha Tanzania kwenye kombe la shirikisho barani Afrika.
Hilo Yanga mnaloona kombe la mchangani bado ni la Kimataifa - hasa kwa Simba. Hata hilo wangetamani mno kushiriki.CECAFA anaandaa kombe la mchangani kagame cup. Hapa tunazungumzia Mashindano yanayoandaliwa na CAF.
Yanga Tunachukua ubingwa Ligi Kuu na pia tunamchapa Azam fainali kombe la shirikisho ili aende kushiriki kwa aibu na kwa hisani ya watu wa Jangwani
Kama yanga akichukua ubingwa wa ligi kuu na pia akichukua na ubingwa wa kombe la azam confederation cup. Je yanga watashiriki mashindano yote ya shirikisho CAF na klabu bingwa Africa?
Duh nawe wa jangwani???
Ndio mshindi wa pili wa FA, hii ina maana kuwa Yanga akibeba makombe yote Vpl na Fa basi azam atashiriki shirikisho mwakani.Mkuu mshindi wa pili wa VPL au FA? kama ni mshindi wa pili wa FA inamaana tayari Azam kaishapata hiyo nafasi coz Yanga ni bingwa wa VPL tayari