Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Wakuu, hizo kadi tatu alizipata kwenye mechi zipi? Pana tetesi kuwa kadi ya kwanza alipata kwenye mechi ya ngao ya hisani!
Inategemea na sheria,England kadi huwa zinaaply kwenye mashindano yote yanayaandaliwa na FA